Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata bei hujaweka bossKipo mbezi njia ya goba. Kituo kinaitwa kontena karibu na kanisa katoliki.
Ni mbezi ya juu mtaa wa kunguru yalipo makazi ya mbunge Ester Bulaya ambayo ni opp na secondary ya sant Joseph.
Fika au piga namba 0719794789
Ukubwa ni mita za mraba 20/20.
View attachment 2133773
Na yeye bado hajaambiwa bei Mkuu..Hata bei hujaweka boss
Heri ya Mwaka Mpya Binamu...Ndio utuuzie mill 200 kweli
Hahhahha nimekumiss sana binamu yangu Ukraine usiende binamu bado tunakuhitaji sanaHeri ya Mwaka Mpya Binamu...
Yaani nimeku-miss hadi najisikia bora tu niende zangu Ukraine kwa yale unayonitendea binamu!
Unafikiri nina jeuri basi ya kwenda huko UKraine!!!Hahhahha nimekumiss sana binamu yangu Ukraine usiende binamu bado tunakuhitaji sana
Hahahahah naanzaje binamu yangu kutaka uende Ukraine huku bado tunakuhitaji sanaUnafikiri nina jeuri basi ya kwenda huko UKraine!!!
Nimejifanyisha tu ili unibembeleze nisiende, na hapa nimejisikia roho kwaatu!!
Yaani kwa mfano ungesema "fanya haraka binamu ukawasaidie wa-Ukraine, wallah ningeumia mno"
Ndo maana nakupenda Binamu, no wonder kila siku naombea uachike ili nichukie mzigo kiulaini, sema aaaaaaaaaargh!Hahahahah naanzaje binamu yangu kutaka uende Ukraine huku bado tunakuhitaji sana
Eeenh binamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaombea niachike unimiliki mwenyewe binamu yanguNdo maana nakupenda Binamu, no wonder kila siku naombea uachike ili nichukie mzigo kiulaini, sema aaaaaaaaaargh!
Muone kwanza, yani kusubiri wenzio waache ndio ujichukulie why kuniaibisha hivi ilhali mbinu za kivita unazijua...Ndo maana nakupenda Binamu, no wonder kila siku naombea uachike ili nichukie mzigo kiulaini, sema aaaaaaaaaargh!
Uzuri wa huyo ni binamu, na binamu huwa haongwi 😀Muone kwanza, yani kusubiri wenzio waache ndio ujichukulie why kuniaibisha hivi ilhali mbinu za kivita unazijua...
Khaaa!!BTW, andaa wakili.
Habari ndo hiyo binamu...Eeenh binamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787] unaombea niachike unimiliki mwenyewe binamu yangu
Hahhaha dada niachie binamu yanguMuone kwanza, yani kusubiri wenzio waache ndio ujichukulie why kuniaibisha hivi ilhali mbinu za kivita unazijua...
BTW, andaa wakili.