Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari ndo hiyo binamu...
Haya mambo ya Binamu Nyama ya Hamu yanakwamisha maendeleo ujue!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Habari ndo hiyo binamu...
Haya mambo ya Binamu Nyama ya Hamu yanakwamisha maendeleo ujue!
Mi namshangaa...Hahhaha dada niachie binamu yangu
Halafu binamu mitongozo mambo ya kizamani kabisa siku hizi watu hawatongozani kabisaMi namshangaa...
Yaani mi niache kumuombea adui njaa ili nibebe kitu kiulaini halafu Prishaz anataka nianze mambo ya mitongozo wakati anajua kabisa kwamba binamu hatongozwi...
Hapo sasa, ndo maana nakupenda binamu yangu, na maombi yangu yapo pale pale!!!Halafu binamu mitongozo mambo ya kizamani kabisa siku hizi watu hawatongozani kabisa