Plot4Sale Nauza kiwanja hapa Mbezi Goba

Plot4Sale Nauza kiwanja hapa Mbezi Goba

Hahhaha dada niachie binamu yangu
Mi namshangaa...

Yaani mi niache kumuombea adui njaa ili nibebe kitu kiulaini halafu Prishaz anataka nianze mambo ya mitongozo wakati anajua kabisa kwamba binamu hatongozwi...
 
Halafu binamu mitongozo mambo ya kizamani kabisa siku hizi watu hawatongozani kabisa
 
Hapo sasa, ndo maana nakupenda binamu yangu, na maombi yangu yapo pale pale!!!
 
Back
Top Bottom