Morogoro mjini nayo kubwa. Kuwa specific. Na utaje na bei ili kupunguza kupigiwa simu kika dakika kuulizwa hiyo site iko wapi, na unauza bei gani!
Tunashukuruuu😒Eneo lipo lukobe kambi tano kwa wale wanaokaa morogoro itakuwa sio sehemu ngeni kwao.
Bei ni 48M ila maongezi yapo
Pia kuna maelewano kwenye kulipa kwa awamu.
🤣🤣🤣🤣 Lukobe 1,500 sqm akafu 48 mil! Sijui ni TZS hiiEneo lipo lukobe kambi tano kwa wale wanaokaa morogoro itakuwa sio sehemu ngeni kwao.
Bei ni 48M ila maongezi yapo
Pia kuna maelewano kwenye kulipa kwa awamu
Kasema hapo Million 48 bila maongezi, mkiongea inaweza ongezeka au kushuka.Shilingi ngspi
Eneo lipo lukobe kambi tano kwa wale wanaokaa morogoro itakuwa sio sehemu ngeni kwao.
Bei ni 48M ila maongezi yapo
Pia kuna maelewano kwenye kulipa kwa awamu