Sam Richards
Member
- May 3, 2019
- 76
- 155
Mimi jobless pro max, nili taka kujua ni wapi.😂😂 Sehemu nzur sana, karibu na Stand mpya ya kwenda Musoma mkuu...
Ukiweza kujipanga vizur nunua eneo hilo
Hakika aysee watu hatuna hela tunauza tu bei sawa na bureeee😂😂 Sehemu nzur sana, karibu na Stand mpya ya kwenda Musoma mkuu...
Ukiweza kujipanga vizur nunua eneo hilo
Lina hati miliki?Wakuu maji yamefika shingoni naomba niuza asset yangu 1 nisolve mambo mengine niendeleze asset zingine.
Sqm ni 1280
Sehemu ni Nyamhongolo
Bei 25M bei mazungumzo
Simu: 0621 622 070.
View attachment 3244537
Kama ametaja hadi sqm, basi hati ipo!!Lina hati miliki?
Sqm siunaweza pima mwenyewe?Kama ametaja hadi sqm, basi hati ipo!!
Kila kitu kipo mkuuLina hati miliki?
Kila kitu kipoLina hati miliki?
Asante sana chiefUkifika 10M, utani-dm.
Bei sawa na bure kama ingekuwa 1 sqrm kwa 6,000 Tsh. Lakini wewe unafanya 1 sqrm kwa zaidi ya 19,000 Tsh, bei ya dalali hiyo.Hakika aysee watu hatuna hela tunauza tu bei sawa na bureeee
Uko viwanja vinauzwaje?Bei sawa na bure kama ingekuwa 1 sqrm kwa 6,000 Tsh. Lakini wewe unafanya 1 sqrm kwa zaidi ya 19,000 Tsh, bei ya dalali hiyo.
Acha "KAMDOMO" wewe, mjini umekuja lini?Uko viwanja vinauzwaje?
Huku Dar ndanindani uko manispaa ikitangaza kupima eneo kuuza inaanza na 25,000 Tsh kwa sqm kwa kiwanja cha shamba. Kiwanja cha makazi 30,000 Ths na cha biashara kama shule na maduka 40,000 Tsh.
Manispaa ya jiji gani inauza sqm kwa 6,000. Au achana na hiyo bei, leta hata tangazo la 10,000 Tsh per sqm.
Iko mji ganiSehemu ni Nyamhongolo