Obama wa Bongo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 5,431
- 4,925
- Thread starter
- #21
hata bei niliyoandika nimeangalia purchasing power ya wakati huuUnachoongea mkuu ni sahihi kabisa. Hata hawa wanaolipuka na kodi zao za nyumba, muda si mrefu watashusha wenyewe tu. Pesa ikiwa adimu kila mtu atatia akili tu na kuuza vitu kwa bei realistic. Pesa za kifisadi zilipaisha maisha yakawa juu mno. Kwa sasa heshima itarudi, nakubaliana na wewe.