BrazakakaBura
Member
- Feb 16, 2017
- 88
- 104
Uko wapi mkuu?hii laptop nimeachiwa na boss akati anarudi kwao china ni PC nzuri sana
Naiuza 750k haipungui naamini kama unajuana na watu wengi hasa wenye uwezo unaweza kwenda kuiuza hata 1.5m+
pia kama kuna mtu anaweza kunipa connection za sehem ambazo naweza kwenda kuiuza nitashukuru kwani hii bei ni ndogo sana maana nikiangalia risit zake walinunua 4.5m
Uko wapi mkuu?
Duh poa mkuu, nilidhani labda upo huku nyanda za juu kusiniMbezi Africana dsm
Ukishindwa kuuza baada ya week moja ni tafteMbezi Africana dsm
Leta capacity yake tufanye BIASHARAMbezi Africana dsm
Duh poa mkuu, nilidhani labda upo huku nyanda za juu kusini
Picha na specificationshii laptop nimeachiwa na boss akati anarudi kwao china ni PC nzuri sana
Naiuza 750k haipungui naamini kama unajuana na watu wengi hasa wenye uwezo unaweza kwenda kuiuza hata 1.5m+
pia kama kuna mtu anaweza kunipa connection za sehem ambazo naweza kwenda kuiuza nitashukuru kwani hii bei ni ndogo sana maana nikiangalia risit zake walinunua 4.5m
Kwann dell tu mkuu?Huko ni Dell tuuu boss
Ndio zinapeta hukoKwann dell tu mkuu?
Sio kweliNdio zinapeta huko
Nasikia huko ni dell latitude 620 na 630 tuuSio kweli
Hahaaaa endelea kusikia mkuuNasikia huko ni dell latitude 620 na 630 tuu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaaaa endelea kusikia mkuu
Duh poa mkuu, nilidhani labda upo huku nyanda za juu kusini
Ukishindwa kuuza baada ya week moja ni tafte
daah jinsi ya kuziona mkuu nisaidie zinapatikana wapi kwenye Apple maana hizi pc complicated sanaLeta capacity yake tufanye BIASHARA
HDD ngapi?
Ram?
Processor ngap
Nk
Izime alafu bonyeza sehem ya kuwasha kabla haijawaka bonyeza f2 maranyingi zaididaah jinsi ya kuziona mkuu nisaidie zinapatikana wapi kwenye Apple maana hizi pc complicated sana