Computer4Sale Nauza laptop aina ya Apple

BrazakakaBura

Member
Joined
Feb 16, 2017
Posts
88
Reaction score
104
hii laptop nimeachiwa na boss akati anarudi kwao china ni PC nzuri sana
Naiuza 750k haipungui naamini kama unajuana na watu wengi hasa wenye uwezo unaweza kwenda kuiuza hata 1.5m+
pia kama kuna mtu anaweza kunipa connection za sehem ambazo naweza kwenda kuiuza nitashukuru kwani hii bei ni ndogo sana maana nikiangalia risit zake walinunua 4.5m
Uko wapi mkuu?
 
Picha na specifications
 
Mkuu kama upe serious hebu weka specifications zake na picha kdg ili tutoe maamuz maana mwnyw nahitaj sana hiyo kitu
 
Back
Top Bottom