Computer4Sale Nauza laptop aina ya Apple

Sawa mkuu ndo niko napekua apa [emoji855][emoji855]
Yaan hizi pc bana sjui ata izo specifications nazipata wapi
Nikizipata tu napiga picha natuma mkuu [emoji110]️[emoji1666][emoji1666]
When screeen ikiwa on>left click kaalama ka tunda -kapokushoto juu > click option imeandikwa about this mac > itakultetea pc information
Proccsesor
Ram
Hdd
Serial number
 
Hiyo pc inasubiriwa kwa hamu kweli kweli
 
Wahuni wanatoka udenda halafu hata picha hatuoni
 
UNASEMA HAIPUNGUI LAKI SABA NA NUSU! ALAFU UNASEMA MTU ANAWEZA KUIUZA HATA MILIONI 1.5 NA ZAIDI .

KWA NINI USIUZE HIYO MILIONI 1.5 AMBAZO ZITAKUTOSHA KULIKO HIYO BEI UNAYOTANGAZA.

USIJIKAANGE MWENEWE KWENYE ISSUE KAMA HIYO
 
Mkuu ukifika kwenye laki 5 nicheki tumalizane chap kwa haraka sana kiongozi
 
Mkuu km hujapata wa kuiunua nicheki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…