nauza maharage ya soya

nauza maharage ya soya

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
wandugu nauza maharage ya soya nina gunia 150 kila gunia nauza laki na thelathini tu pia nina magunia kama hamsini ya mbaazi kila moja nauza laki tatu ni gunia la kilo mia moja kwa anaehitaji please pm me
 
mkuu,hyo mbaazi ni ya wapi?
 
Dah kumbe mbaazi ni kilo 3 kwa gunia! Mkuu umelima mwenyewe au umenunua?
 
Back
Top Bottom