Inategemea njombe tunauza parachichi kwa kilo. Kilo moja 1000 hadi 2000. Ambapo kilo yanakuwa 3 hadi 5 tegemeana na ukubwa.Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa)