NAUZA MAPARACHICHI

NAUZA MAPARACHICHI

Hivi ni kwanini biashara ya matunda haifuti standard measurement kama kilo? Nilicheka sana mama mmoja alikuwa anauza maparachichi kwa kitu kinachoitwa ''kipimo cha gunia'' lakini kiuhasilia ni gunia ujazo wa gunia mbili (lumbesa)
Inategemea njombe tunauza parachichi kwa kilo. Kilo moja 1000 hadi 2000. Ambapo kilo yanakuwa 3 hadi 5 tegemeana na ukubwa.
 
Kwa jina zinaitwa parachichi Aina ya HASS
Zina sifa ya pekee Sana kulinganisha na parachichi nyingine zote.
Haya hass yana GMO, ya durability, yanaweza kukaa kwa muda mrefu sana, lakini hayo ya kilimanjaro huoza chap chap!....
 
Habari,
Karibu chianteng limited ni wauzaji wa Truck za HOWO Kwa Bei Nzuri

Pia tunazo SPARE PARTS ZOTE ZA HOWO,

Pia tuna mafundi waliobobea katika utengenezaji wa truck za HOWO.

Karibu sana

📍Tupo Kurasini opposite na Chuo Cha Diplomasia

☎️0748 270 719
IMG-20240613-WA0003.jpg
Howo-371-dump-truck-for-sale-1-100885.jpg
IMG-20240613-WA0005.jpg
 
Back
Top Bottom