Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mashamba eka hadi elfu tano na kuna mashamba heka zaidi ya ma bilioni kwahiyo jipangeHii ni bei kubwa sana kwa shamba.
Eka 5 wapi uko nije kujifunzia ufugaji na kilimo 😄Kuna mashamba eka hadi elfu tano na kuna mashamba heka zaidi ya ma bilioni kwahiyo jipange
Unapajua Masaki wewe? Siyo Ile ya Oyster bay.Milioni 2 kwa ekari? unatoa sadaka au ni ya urithi?
Handeni ipi mkuu, Me nlinunua kwasunga hekari moja kwa 300k ,nliuziwa na kampuni ,handeni hapo walikuwa wanauza heka 1 laki 1.wameanza kushtuka miaka hii
Mimi nilinunua eka moja elf 20 kijiji cha gumbonneka unaingilia mazingira pale kijiji cha kwanza ukitoka mkata kama unaenda handeni. Ardhi inarutuba sanaHandeni ipi mkuu, Me nlinunua kwasunga hekari moja kwa 300k ,nliuziwa na kampuni ,
njoo huku lindi ujikatie kwa uwezo wako mwenyewe.Eka 5 wapi uko nije kujifunzia ufugaji na kilimo 😄
Inafaa kwa kilimo ganinjoo huku lindi ujikatie kwa uwezo wako mwenyewe.
korosho na ufutaInafaa kwa kilimo gani
Kilimo cha mahindi au mpunga pande hizo vipi hakikubali kwankorosho na ufuta
Bei gani Kwa hekari,na wilaya gani Hapo?njoo huku lindi ujikatie kwa uwezo wako mwenyewe.