Mahindi yanagoma, labda karanga na mbaazi, mpunga njoo Rufiji na LukulediKilimo cha mahindi au mpunga pande hizo vipi hakikubali kwan
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mahindi yanagoma, labda karanga na mbaazi, mpunga njoo Rufiji na LukulediKilimo cha mahindi au mpunga pande hizo vipi hakikubali kwan
unajikatia bure, wilaya ya Kilwa kule Muhoro ndani ndani kule au Njinjo kabla ya Liwale, ardhi haina mwenyewe
Huko hukosi wachagga 😅Mimi nilinunua eka moja elf 20 kijiji cha gumbonneka unaingilia mazingira pale kijiji cha kwanza ukitoka mkata kama unaenda handeni. Ardhi inarutuba sana
Huko rufiji eka inapatikana kwa shs ngapiMahindi yanagoma, labda karanga na mbaazi, mpunga njoo Rufiji na Lukuledi
Sijauliza bei kwa mwaka huu. Ila kwa mpunga ndo kwenyewe, pia wengi waliokuwa wanalima Ihefu wamehamia kule Rufiji.Huko rufiji eka inapatikana kwa shs ngapi
Bado yapoKaribuni mashamba bei sawa na bure. Mashamba yapo dakk 30 kutoka kisarawe mjini. Maongezi yapo kdogo.
Namba 0627757086