SOLD OUT
OFA KUBWA β PUNGUZO LA BEI!
Nauza Mashine ya Kusaga, Motor 30 HP, na Mashine ya Kukoboa (rollers 3) kwa bei ya OFA ya
Tsh 5,000,000/= (Milioni Tano tu).
Vifaa vilivyopo:
- Mashine ya Kusaga Complete (kinu size 75/100)
- Mashine ya Kukoboa Complete (rollers 3)
- Motor 30 HP
π Mashine zipo Mnungβuna, Singida Manispaa.
β‘οΈ Mashine zinafanya kazi hadi sasa, zimenunuliwa mwaka mmoja tu uliopita, na zinatumia mota moja.
β‘οΈ Hesabu yetu imeambatanisha vifaa vyote vya kuendeshea β ni
plug & play. Huhitaji kununua vifaa vingine, unahamishia tu eneo lako na kuanza kazi mara moja.
NB: Sababu ya kuuza β nataka kubadili biashara.
Mawasiliano Simu/WhatsApp: 0692 294 366
Karibuni sana wadau! Hii ni nafasi ya kipekee kufungua vitega uchumi vijijini, kuwasaidia wazazi na familia kujipatia kipato cha kila siku. Usisubiri mwisho wa mwezi β maisha ni pesa, na mashine hizi ni chanzo cha mapato ya uhakika.
Nimepunguza bei kutoka
Milioni 6 hadi
Milioni 5 tu. Hii ni OFA ya muda mfupi β mteja awahi haraka kuchukua kabla haijaisha!