Nauza Mashine ya Kusaga, Mota 30 HP, na Mashine Kukoboa (rollers 3), bei Milioni 6

Nauza Mashine ya Kusaga, Mota 30 HP, na Mashine Kukoboa (rollers 3), bei Milioni 6

Ina nyaraka gani za umiliki?
Habari Mkuu, ukiwa tayari kwa Manunuzi tutakuandalia Nyaraka zifuatazo:
  1. Hati ya Kiapo cha Umiliki;
  2. Barua ya serikali ya mtaa/kijiji;
  3. Inventory yenye picha;
  4. Mkataba wa mauziano;
  5. Nakala za vitambulisho;
  6. Mashahidi wawili;
  7. Risiti mpya ya malipo (Bank Payslip);
  8. Hati ya kuhamisha umiliki;
  9. Fomu ya makabidhiano.
 
Nitakupigia tuongee kwanza bei.
 
Imefanya kazi kwa muda gani?
Imetengenezwa wapi- Mchina au SIDO?
Motor ziko 2?
Starter ?
Nyaya zinazotoka kwenye stater kwenda kwenye motor?
Reli ipo?
Mashine zinafanya kazi hadi sasahivi Mkuu. Zina mwaka mmoja tangu ziliponunuliwa dukani, zinatumia mota moja.
 
Mashine zinafanya kazi hadi sasahivi Mkuu. Zina mwaka mmoja tangu ziliponunuliwa dukani, zinatumia mota moja.
Wewe ni kuhamisha tu na kwenda kusimika kwenye eneo lako, kisha unaendelea kupiga kazi.
 
Bei iko juu sana mkuu labda fanya 3m maana kwa makadirio hapo
1. Mota moja 30 hp 1.4m
2. Kinu cha kusaga cha sido hicho 1m
3. Kinu cha kukoboa cha kichina hicho laki 7
4. Starter, main switch, isolator na armored cable zote laki 6

Hesabu ya milioni 6 haiji kabisa
 
Umeona size za hivyo vinu? Bei za Mashine za Kusaga na Kukoboa zinapimwa kwa size za vinu vyake.
 
Umeona size za hivyo vinu? Bei za Mashine za Kusaga na Kukoboa zinapimwa kwa size za vinu vyake.
Hivyo vya milioni moja & laki saba nenda wakakupatie size zake, kisha leta hapa.
 
Bei iko juu sana mkuu labda fanya 3m maana kwa makadirio hapo
1. Mota moja 30 hp 1.4m
2. Kinu cha kusaga cha sido hicho 1m
3. Kinu cha kukoboa cha kichina hicho laki 7
4. Starter, main switch, isolator na armored cable zote laki 6

Hesabu ya milioni 6 haiji kabisa
Pia hesabu yetu imeambatanisha pamoja na vifaa vyote vya kuendeshea hizo mashine, ni "plug & play". Yaani wewe utahamishia kwenye eneo lako tu na kuanza kufanya kazi mara mmoja, hauitaji tena kwenda dukani kununua vifaa vingine ili mashine zianze kufanya kazi. Karibu sana Mkuu
 
Sawa mkuu ni mashine zako sikupangii
Ok, uliona wapi mashine ya milioni moja na laki saba ikiwa imekamilika tayari kwa kufanya kazi? Hapa tunaongelea "Complete" Mashine, yaani unachukua unaweka kwenye eneo lako na kuanza kazi.
 
Mashine imetumika kwa muda gani? Uwezo wake wa kusaga na kukoboa ni kilo ngapi kwa saa? Mazungumzo yapo? Nahitaji hiyo mashine naomba tuwasiliane.
 
Pia hesabu yetu imeambatanisha pamoja na vifaa vyote vya kuendeshea hizo mashine, ni "plug & play". Yaani wewe utahamishia kwenye eneo lako tu na kuanza kufanya kazi mara mmoja, hauitaji tena kwenda dukani kununua vifaa vingine ili mashine zianze kufanya kazi. Karibu sana Mkuu
Kiongozi tuwasiliane tufanye biashara.
 
🌟 OFA KUBWA – PUNGUZO LA BEI! 🌟

Nimepunguza bei kutoka Milioni 6 hadi Milioni 5 tu. Hii ni OFA ya muda mfupi – mteja awahi haraka kuchukua kabla haijaisha!
 
🌟 OFA KUBWA – PUNGUZO LA BEI! 🌟

Nimepunguza bei kutoka Milioni 6 hadi Milioni 5 tu. Hii ni OFA ya muda mfupi – mteja awahi haraka kuchukua kabla haijaisha!
Ukifika milioni 3 njoo pm tubargain bei
 
Back
Top Bottom