permanides
JF-Expert Member
- May 18, 2013
- 12,484
- 15,297
Fanya tano na nusu uje uchukue Mkuu, karibu sana
Ina nyaraka gani za umiliki?Milioni 5.5 Mkuu, unabeba kila kitu hapo na kuanza kufanya kazi. Kuna vifaa vyake vya umeme pia, switch, nyaya, n.k.
Habari Mkuu, ukiwa tayari kwa Manunuzi tutakuandalia Nyaraka zifuatazo:Ina nyaraka gani za umiliki?
πDaah,kumbe hayo mabati yanauzwa beei hivi,
Nilijuaga ni laki 5+
π€£π€£π€£π€£π
Nitakupigia tuongee kwanza bei.Habari Mkuu, ukiwa tayari kwa Manunuzi tutakuandalia Nyaraka zifuatazo:
- Hati ya Kiapo cha Umiliki;
- Barua ya serikali ya mtaa/kijiji;
- Inventory yenye picha;
- Mkataba wa mauziano;
- Nakala za vitambulisho;
- Mashahidi wawili;
- Risiti mpya ya malipo (Bank Payslip);
- Hati ya kuhamisha umiliki;
- Fomu ya makabidhiano.
Imefanya kazi kwa muda gani?0692294366/0755732981 Karibu
Mashine zinafanya kazi hadi sasahivi Mkuu. Zina mwaka mmoja tangu ziliponunuliwa dukani, zinatumia mota moja.Imefanya kazi kwa muda gani?
Imetengenezwa wapi- Mchina au SIDO?
Motor ziko 2?
Starter ?
Nyaya zinazotoka kwenye stater kwenda kwenye motor?
Reli ipo?
Umeona size za hivyo vinu? Bei za Mashine za Kusaga na Kukoboa zinapimwa kwa size za vinu vyake.Bei iko juu sana mkuu labda fanya 3m maana kwa makadirio hapo
1. Mota moja 30 hp 1.4m
2. Kinu cha kusaga cha sido hicho 1m
3. Kinu cha kukoboa cha kichina hicho laki 7
4. Starter, main switch, isolator na armored cable zote laki 6
Hesabu ya milioni 6 haiji kabisa
Pia hesabu yetu imeambatanisha pamoja na vifaa vyote vya kuendeshea hizo mashine, ni "plug & play". Yaani wewe utahamishia kwenye eneo lako tu na kuanza kufanya kazi mara mmoja, hauitaji tena kwenda dukani kununua vifaa vingine ili mashine zianze kufanya kazi. Karibu sana MkuuBei iko juu sana mkuu labda fanya 3m maana kwa makadirio hapo
1. Mota moja 30 hp 1.4m
2. Kinu cha kusaga cha sido hicho 1m
3. Kinu cha kukoboa cha kichina hicho laki 7
4. Starter, main switch, isolator na armored cable zote laki 6
Hesabu ya milioni 6 haiji kabisa
Sawa mkuu ni mashine zako sikupangiiUmeona size za hivyo vinu? Bei za Mashine za Kusaga na Kukoboa zinapimwa kwa size za vinu vyake.
Kiongozi tuwasiliane tufanye biashara.Pia hesabu yetu imeambatanisha pamoja na vifaa vyote vya kuendeshea hizo mashine, ni "plug & play". Yaani wewe utahamishia kwenye eneo lako tu na kuanza kufanya kazi mara mmoja, hauitaji tena kwenda dukani kununua vifaa vingine ili mashine zianze kufanya kazi. Karibu sana Mkuu
Ukifika milioni 3 njoo pm tubargain beiπ OFA KUBWA β PUNGUZO LA BEI! π
Nimepunguza bei kutoka Milioni 6 hadi Milioni 5 tu. Hii ni OFA ya muda mfupi β mteja awahi haraka kuchukua kabla haijaisha!