Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

Kiazi Kitamu

Senior Member
Joined
Feb 16, 2013
Posts
122
Reaction score
126
Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:-
*Piga/text/WhatsApp*
0765894955/0693100453
Arusha Tanzania
FB_IMG_1583922945943.jpg
FB_IMG_1583922975047.jpg
 
Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI.

KWA MAWASILIANO:-
Piga/text/WhatsApp 0765894955/0693100453

Arusha Tanzania
FB_IMG_1583922945943.jpg
FB_IMG_1583922975047.jpg
FB_IMG_1583922959577.jpg
 
Salamu wana jukwaa! Natumaini mko salama salimini.

Naomba kuuliza naweza wapi kupata soko la mayai ya KIENYEJI HALISI SIYO CHOTARA , maana kwa maeneo nayoishi naweza kupata zaidi ya trei 50- 100 kwa wiki. Tatizo ni wapi naweza kupata soko.

Naombeni ushauri ni wapi naweza pata soko la uhakikaaaa connections kwenye uhitaji wa kufanya biashara hii.
Nawasilishaa ndugu zangu.
WhatsApp 0765894955
Call me 0693100453
 
Boss unaposema uhakika wa trey 50 hadi 100 una manaa ulo mkoani huko.

Sasa ili kufanya mambp yawemarahisi niambie uko wapi na utanifikishiaje hapa DSM kwa interval ya trey 10 kwa wili.
 
Boss unaposema uhakika wa trey 50 hadi 100 una manaa ulo mkoani huko.

Sasa ili kufanya mambp yawemarahisi niambie uko wapi na utanifikishiaje hapa DSM kwa interval ya trey 10 kwa wili.
Mkuu Mimi Niko Arusha. Uwezekano wa kukufikia upo. Usafiri wa ARUSHA - Dsm ni wa uhakikaaaa kwa siku zote za juma
 
Back
Top Bottom