Kiazi Kitamu
Senior Member
- Feb 16, 2013
- 122
- 126
Unahitaji MkuuLeta Dar mkuu
Ya kula tu mkuu sio kuuza sio sio zaidi ya trayUnahitaji Mkuu
kiazi kitamu nikitoka nje ya Arusha kuja kuchukua utaniuzia shilingi ngapi??Habari wanabodi, nauza Mayai ya KIENYEJI HALISI- PURE SIYO CHOTARA. BEI NI SHILINGI 13,500/ KWA TREI MOJA. PUNGUZO LIPO KWA ATAKAYECHUKUA MENGI. KWA MAWASILIANO:-
*Piga/text/WhatsApp*
0765894955/0693100453
Arusha TanzaniaView attachment 1386814View attachment 1386815
PUNGUZO litakuwepo mkuu, usijali biashara ni mazungumzokiazi kitamu nikitoka nje ya Arusha kuja kuchukua utaniuzia shilingi ngapi??
Pamoja mkuu, ingekuwa kuanzia 5 tungefanya utaratibu wa kutuma Mkuu. Karibu sana tena sanaYa kula tu mkuu sio kuuza sio sio zaidi ya tray
Asante kwa ushauri Mkuu. Naufanyia kaziJitangaze instagram pia mkuu! Na fb
Asante kwa ushauri Mkuu. Naufanyia kazi
Mkuu Mimi Niko Arusha. Uwezekano wa kukufikia upo. Usafiri wa ARUSHA - Dsm ni wa uhakikaaaa kwa siku zote za jumaBoss unaposema uhakika wa trey 50 hadi 100 una manaa ulo mkoani huko.
Sasa ili kufanya mambp yawemarahisi niambie uko wapi na utanifikishiaje hapa DSM kwa interval ya trey 10 kwa wili.
Niko Arusha mkuu. 13,500 lakini kuanzia trei 3 kwenda juu sh 12,500/
Niko Arusha mkuu. 13,500 lakini kuanzia trei 3 kwenda juu sh 12,500/
Sawa chief