Nauza mayai ya kienyeji halisi(pure) siyo chotara - Arusha

Natafuta soko la mayai ya KIENYEJI HALISI SIYO CHOTARA nina uwezo wa kuwa na trei kuanzia 25 - 30 za mayai kwa siku,

Mayai ni wa kuku wa kienyeji halisi siyo CHOTARA yenye kiini cha njano, Size ya mayai ni makubwa na masafi
Trey moja ni 13,000 Tsh, nipo Ngaramtoni - Arusha .

Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0693100453/0713085416
WhatsApp 0765894955

Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako.

KARIBU TUFANYE BIASHARA.
 
Hapo ndo utawajua inspirational speakers! Tumia gharama kubwa kufuga njoo na bei yako sokoni utalia!
 
Unafanyajee Arusha mwana hizo mambo za Dar kabisa fasta tu mzigo ungeisha
 
Nauza Mayai ni wa kuku wa kienyeji halisi siyo CHOTARA yenye kiini cha njano, Size ya mayai ni makubwa na masafi
Trey moja ni 12,000 Tsh, nipo Ngaramtoni - Arusha .

Mwenye uhitaji nitafute kwa namba 0693100453/0713085416
WhatsApp 0765894955

Ukihitaji unaletewa hadi nyumbani au kwenye biashara yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…