- Thread starter
- #41
😃Hii ndio gari sio zile sare za mjini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😃Hii ndio gari sio zile sare za mjini
Naaam naaamChuma ya 2007 ila inaweza ku compete na Chuma nyingi tu za Toyota kwasasa .
HahahaaaaMbona picha imepigwa kwenye kituo cha mwendo kasi? una haribu miundombinu yetu
Unabisha kitu ambacho kipo wazi. Hiyo gari amenunua used kutoka Japan ndiyo maana ameandika kutoka Japan. Ukinunua kutoka South Africa unasema umeitoa South Africa. Kipi kigumu kuelewa?Nachojua huwa inaandikwa Country of Origin.. mfano Kwani hakuna gari used zinanunuliwa kutoka Kenya? mbona huwaandiki From Kenya.
Sema ndoa ya kikristo kwa mafukara. Siyo watu wote wananunua gari wakiwa na lengo la kuja kuiuza tena kwa bei yenye maslahi. Kuna wengine wakisahitumia kwa muda wanapeleka sehemu ya chuma chakavu.Chuma ya mjerumani... Ndoa ya kikristo.
-Kaveli-
Uko sahihi mkuuUnabisha kitu ambacho kipo wazi. Hiyo gari amenunua used kutoka Japan ndiyo maana ameandika kutoka Japan. Ukinunua kutoka South Africa unasema umeitoa South Africa. Kipi kigumu kuelewa?
HahahaaaSie wazee wa Toyota tunadoma tu comments
Ushauza au bado ipo?Karibuni wakuu
Sahihi...soko ni gumu kiasiKweli soko gumu, mwezi nzima gari haitoki wala hainunuliki... Ingekuwa crown chap tu