SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

Je unafanya biashara ya ukopeshaji na ungependa kupata mfumo wa computer utakaokusaidia shughuli zako za ukkopeshaji?

LOAN MANAGEMENT SYSTEM

Mfumo wa usimamizi masuala ya kuweka pesa na kukopa

Mfumo maalumu kwa ajili ya vikoba, microfinance, taasisi za ukopeshaji na watu binafsi wanao jihusisha na ukopeshaji.

Kupitia mfumo huu utaweza kuona

Taarifa zote za wakopaji

Marejesho na deni la mkopo uliobakia

Faida iliyoingizwa katika mikopo iliyotolewa.

Taarifa za uwekaji wa pesa kutoka kwa wanachama.

Mfumo una loan calculator ambayo inakusaidia kupiga mahesabu ya mkopo ambao mwanachama anaomba na inakuwezesha kujua marejesho anayotakiwa kurudisha.

gharaa ya mfumo huu ni Tsh 500,000
kwa features zilizopo kwa sasa.

Ikiwa utahitaji kuongeza features zingine tutazungumza.

Kwa maelezo zaidi na demo ya mfumo naweza kukupatia
 
hata sijakuelewa mkuu
point yako ni nini?
 
Jee ni online or offline?
Bei yake?
Gharama zake nyingine?
 
sh ngap
 
Hongera sana, umetumia language zipi mkuu (backend) na Frontend ??
 
Baada ya hapo Kuna gharama zipi Tena?
hakuna gharama zingine zozote zaidi ya kurenew server ambayo kwangu mm ni 90,000 kwa mwaka..

ila kama utahiyaji au una server yako ni wewe mwenyewe tu utakavyoigharamia ina maana mimi na wewe tutakuwa tumeshamalizana.

Labda kama utahitaji maboresho au kuongeza features zingine ndio tutakubaliana tena
 
Mkuu....
Kwani haujaskia mkopo umesababisha ticha amejiua kule kaskazini??
 
Mkuu....
Kwani haujaskia mkopo umesababisha ticha amejiua kule kaskazini??
ndio maana nimeleta hii system ili mkopaji na mkopeshaja wawe na taarifa muda wote wajui marejesho...sio mambo ya kishtukizana.

pia taarifa zinakuwa wazi tokea siku ya kwwnza anakopa anajua narejesha kiasi gani kila baada ya muda gani

nadhani system hii itasaidia kupunguza majanga kama haya
 
150,000 TU KWA MWAKA MZIMA
YAANI NI 12,500 KWA MWEZI
 
Iyo hosting unauzaje!! nikitaka ya kudumu
kiuhalisia hamna hosting ya kudumu... hii hosting ni huduma ambayo mmiliki wa system iliyopo mtandaoni analipia kila mwaka
sasa inategemean na kampuni na kampuni ..

ika kwa kadri unavyonunua kwa muda mrefu labla miaka 2 au 4 ndio bei inapungua..
Hakuna bei maalum.
 
Kwasasa Industry Imekuwa sana,
Jee system yako. Ina features za Islamic Microfinance ?
Islamic Finance Financial Instrument like eg Ijara, Mudarabah, Musharka, Wakal, Istana, sukul and Takaful ?
 
Vijana wa ovyo watasema tukopeshe huo mfumo tuone kama utaweza kusimamia mikopo yako.

Ila kazi nzuri na bei nzuri.
 
Kwasasa Industry Imekuwa sana,
Jee system yako. Ina features za Islamic Microfinance ?
Islamic Finance Financial Instrument like eg Ijara, Mudarabah, Musharka, Wakal, Istana, sukul and Takaful ?
hayo ni majina tu ambayo taasisi inayatoa kwenye huduma zao.

ila logic ya calculation za riba na marejesho unaziwek ndanj ya system..
kwa maana hiyo naweza ku customize calculation za marejesho ya kiasi cha pesa na muda wa marejesho kulingana na mahitaji ya mmiliki wa taasisi ya ukopeshaji ..

kwa saaa system ina main features za msingi..ila mtu kama ataleta requirement zake naweza kuibadilisha iendane na matakwa yake..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…