SOFTWARE Nauza mfumo utakaokusaidia kutunza kumbukumbu za mauzo na manunuzi hata kama upo mbali na biashara yako

php and laravel
php and laravel
Safi sana Master, pia ukiwa free, tumia Angular Material Framework ya Javascript as Front End na Oracle au sql server As Data Files storage, na NodeJs au C# as middleware kati ya Frontendna Backend. Ulishawahi kutumia mfumo wa ERMS au MAJIIS mifumo ya eGa utaona ninachomaanisha. Nchii hii kuna Vijana wanaweza na wanajua katika masuala la Coding... Kila la heri Master.
 
shukrani
 
gharama ya mfumo 150,000 tu
 

Sisi tuna mfumo wa kidigital(Dirm VFD) wa utoaji risiti za EFD. Unaweza kutumia mfumo kupitia simu Yako ya mkononi, tablet au computer. Umfumo kwa mawasiliano zaid piga 0784523861
sasa si ungeandaa uzi wako uelezee bidhaa yako mkuu.
Mbona jukwaa hili ni huru kwa matangazo
Hauna haja ya kudandia uzi wa mwenzako
 

Hao ndo magaidi ila bongo πŸ˜„
 
Karibuni sana mfumo bado upo kwa yeyote atakayehitaji.
Pia kama utahitaji mfumo ambao una mahitaji yako binafsi unakaribishwa sana
0711707070
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…