Quality_First
Member
- Jun 12, 2021
- 32
- 15
Ikumbukwe kuwa duniani tuwapitaji, hatuna mji udumuo, so it is not a good idea kujenga njiani. HahahahImagine kwetu cement mfuko ni sh 28000 kujenga kwetu ni gharama.
Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara.
Imebaki mifuko 400 tu. Wahini sasa.
Kwa sasa, shughuli za ujenzi zimedorora maeneo ya hapa. Market hakuna.Unabadili biashara au? Location nu nzuri nije nitake over ?
Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
Duniani tunapita mkuu, sasa kwanini ujenge njiani...🙄Imagine kwetu cement mfuko ni sh 28000 kujenga kwetu ni gharama.
Kampuni Gani hiyo?Habarini wadau. Nauza cement grade 42.5 kwa bei ya 15,000 kwa mfuko. Eneo ni Tabata Saanene. Bei ni nafuu kwa kuwa ninafunga biashara.
Imebaki mifuko 400 tu. Wahini sasa. Risiti ya EFD ipo.
Kwa mawasiliano zaidi, piga namba 0687320462.
Kwelo hata yesu hakujenga nyumba huku duniani, kwa nini najichosha sasa?Duniani tunapita mkuu, sasa kwanini ujenge njiani...🙄
Na anaishi kwao😜Kwelo hata yesu hakujenga nyumba huku duniani, kwa nini najichosha sasa?
Anakula kwa baba yake bure halipi kodiNa anaishi kwao😜