magabelab
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 371
- 190
Mifumo hii imeanza kutengenezwa 2013, sasa imekamilika. (Natafuta fedha ya kutengeneza mfumo Fulani imayotumia AI). Mifumo hii ya kuangalia matokeo unaweza kuiprogram kama chombo cha cassini, yaani utakavyo on the fly kwa kutumia computer au simu yako ya mkononi, mfano kuweka matangazo au kuongeza logic nyingine uitakayo.
Tukutane pembeni kama unataka kuichukua.
Tukutane pembeni kama unataka kuichukua.