Nauza mke wangu

Nauza mke wangu

Status
Not open for further replies.
Lol! Unalo limekuganda! Hiyo certificate haina expiry date. Isitoshe hapo chini kulia kuna hayo maandishi unayotaka 'goods bought as is, where is. Goods once sold ar never returnable'
 
tunarudishana utumwani!! utamuuzaze mwenzio kama dagaa!!??USHINDWE!!
 
Yaani mie nimeipenda, tena amwuze kwa barter trade.

Tena achague jogoo akajipikie supu ila na mie anialike siku ya kunywa hiyo supu.

tunarudishana utumwani!! utamuuzaze mwenzio kama dagaa!!??USHINDWE!!
 
Nahisi hujajua tu utakuta na yy kakuchoka kupita kiasi,
Kwa namna ulivyoandika hata ww hufai kuwa MUME!!
Lzm utakuwa kivulana bado, huwezi kumuita binadamu mwenzio bidhaa!!!!,
Bora mama yako alikuzaaa, ungebaki tumbon mwake sijui km angesavaivu.
 
Kazi/faida ya mke kwa mwanaume ni nini?
1. kama ulifikiri ni kiburudisho basi utamuuza coz umeshaburudika vyakutosha sasa unauza makombo japokua ile kitu haina makombo!
2. Kama unafikiri una haki sawa na mke wako kwenye ndoa yako basi umwombe mungu akusamehe kwa maneno yako hayo yakumdhalilisha mke wako na wanawake wote kwa ujumla.
 
Ah, huyu toashi kaoaje? Matoashi hawaoi - soma Wakorintho 7:11
 
Tatizo ni nini? Matumizi makubwa???
Mwaga matatizo hapa unaweza kupata suluhu ukaishi maisha ya amani mpaka ukaja kujiuuliza huko baadaye kwa nini ulitaka kuuza mkeo!
 
he he he.......mi ningemnunua kama dau lingekuwa kubwa lakini kama imefika stage unataka kufanya barter trade huyo lazima atakuwa na bonge la kasoro.....au baba mkwe alikupiga huo mkwara wa goods once bought are not returnable??
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom