Nauza mke wangu

Nauza mke wangu

Status
Not open for further replies.
weka number yake ya cm utueleze mkali kwenye anga gani picha itasaidia kujua kama anabebeka au laa.....
 
Weka picha yake na sifa zake
 
mama yako angeuzwa na baba yako ungejua kuwa baba yko wa damu ni nani? just saying usikaririke
umenikera boy
 
Na hao wawili wamekuwa mwili mmoja na si wawili tena........maana wewe ndio kichwa cha nyumba inawezekanaje uuze kiwili-wili na kichwa kibakie? hata kama mna matatizo tafuta ufumbuzi sio hivyo ndugu..
 
nataka nimkope kama wachezaji nimtest alafu tumalizane baadaye
 
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single

Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.

Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa “Goods once bought are not returnable”

Nakaribisha ofa
kwa mnada huu nahisi wewe ni skrepa kabisa...hata kwa kongolo hufai...
 
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single

Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.

Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa “Goods once bought are not returnable”

Nakaribisha ofa

Namtaka huyo mke wako, lakini nakupa sharti moja kwa sababu umeniuzia nitataka kumtumia mbele yako kwa maana kutest goods.
Mkuu nijuze ulipo fasta ili nifanye malipo.
 
Biashaa hii ni haramu ndugu

Peleka kwao divorce har kuna wanaume wengine wataoa kama wewe umeshindwa ok..
 
nipo tayari kumnunua
ila nipe sababu zinazokufanya umuuze kwanza
 
ampeleke kwa king mswati nadhani ile contest itakuwa mwakani u can make good money there
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom