tunarudishana utumwani!! utamuuzaze mwenzio kama dagaa!!??USHINDWE!!
kongosho! USHINDWEEEE!!Yaani mie nimeipenda, tena amwuze kwa barter trade.Tena achague jogoo akajipikie supu ila na mie anialike siku ya kunywa hiyo supu.
kongosho! USHINDWEEEE!!
Utamuuzaje kwani ulimnunua?? si umrudishe kwa wazazi wake???
maskini Nsuri,are you taking this seriouly?
Kongosho unajua kupinda sio lazima utembee uchi Samora?it is siriaz
kuuza ile kitu wakati nna kadi kumi za michango watu wanataka weka karibu hiyo kitu.
Its ziriaz
Kongosho unajua kupinda sio lazima utembee uchi Samora?