arabianfalcon
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 2,285
- 584
kwa mnada huu nahisi wewe ni skrepa kabisa...hata kwa kongolo hufai...Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single
Nimechoka mwenzenu. Kuliko kufikia hatua ya Ditopile nimefikia uamuzi huu. I can go down hata kwa chips mayai nitashukuru.
Mnunuzi lazima asaini na kukubaliana na kipengele kuwa Goods once bought are not returnable
Nakaribisha ofa
Nimekaa na kutafakari sana na nimefikia uamuzi wa kumuuza mke wangu. Kubadilishana ni moja ya option ingawa kwa sasa nataka kuwa single