Nauza mke wangu

Status
Not open for further replies.
hata kama umeitunga ila we ni mkali,ni lazima una masterz ya sanaa,nimecheeeka
 
we achana na hao wanaokuponda ...weka bei hapa tujadili biashara
 
Mimi nataka niwanunuwe nyote wawili unasemaje
 
....najua wakati huu bidders watakuwa wengi, ngoja nisubirie boxing day au mpaka 2nd january...
 
kama sh100 namnunua maana mpaka unamuuza ujue hyo cyo mwanamke'chips mayai hela nyingi sana.
 
biashara matangazo ndugu tuwekee picha zake
 
safi sana ila cha msingi usimuuze wewe mwambie tu mama nenda kwenu nimeishachoka na service zako.....
 
Unauzaje mali haionekani! weka hadharani tukajipimie! Halafu we inaonekana mpumbavu kuliko mfalme Juha!
Unauza binadamu mwenzako! umemkojolea mara ngapi mpaka umefikia kumchoka? Toa ujinga kereng'ende wewe!
 
tunarudishana utumwani!! utamuuzaze mwenzio kama dagaa!!??USHINDWE!!

ya hio ni sawa.make pengine alilipa pesa kibao wkt anamtoa kwao,so ni biashara na mshageuka kuwa bidhaa!
vinginevyo mfanye juhud za maksudi kuwaonyesha wanaume kweli ninyi si bidhaa na hakuna haja ya malipo baada ya kumegana!
 

Naomba sifa za bidhaa unayouza ili imshawishi mnunuzi. yawezekana wewe kwa vigezo vyako uliona huyo anafaa kuwa mke kumbe kwa wengine anaweza kufaa kuwa dada, housegirl, au nyumba ndogo tu!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…