Nauza mke wangu

Status
Not open for further replies.
Mungu wangu! Natamani kujua kama uko sirias au umeschoka, ukaamua kuperuzi na kuandika 'chochote' MMU.
 
We umelaaniwa. Hapa kuna wanawake wametukanwa lakini bado wanakenua kenua midomo.
 
Angalia kichaa kikizidi usijemuuza mother wako ukakosana na dingi yako. Je yeye akiamua kukuuza wadhani utanunuliwa au utadoda. Mkeo si bidhaa fiti zaidi ya kuwa makapi ya mapenzi yenu. Go learn how to think logically young fella. Ukiendelea kufikiri hivyo kuna mabasha watataka wakununue wewe toka kwa huyo umuuzaye. Shauri yako!
 
Wewe na yeye hadi kufa, hakuna kuuza mtu hapa......wewe ndio uondoke, ebo!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…