Nauza mpunga

Nauza mpunga

Mali haswa,,, ! Kama ukiweza kuvumilia kidgo utapiga pesa nzuri sana, na utauza kwa kuringa ! Mvua msimu huu sio nyingi,,,wakulima wengi wameangukia masikio ! Kila la kheri ! Natamn siku moja niwe nafanya hii biashara ! Namiliki machine ya kukoboa mpunga, store kubwa ya kukusanyia mpunga kutoka kwa wakulima,,, ! Alafu mchele naupark kwa 5kgs, 10kgs, 25kgs, 50kgs na 100kgs nauza ! Ila kulima hapana, kulima kutegemea mvua ni sawa na kubet ! Kila la kheri ndugu
Yes, kulima ni risk sana unless upate sehemu nzuri yenye mifeleji au bonde ama yenye mvua za uhakka.

Lakin kununua uki calculate vzuri trend basi hela ni uhakika.
 
Hivi hizo bayenge na kalamata ni mbegu za kisasa au kizamani...maana nazisikia sana hizo mbegu kanda ya ziwa
 
Back
Top Bottom