bobby_Barbosa_9
JF-Expert Member
- Jul 29, 2019
- 631
- 1,268
- Thread starter
- #21
Yes, kulima ni risk sana unless upate sehemu nzuri yenye mifeleji au bonde ama yenye mvua za uhakka.Mali haswa,,, ! Kama ukiweza kuvumilia kidgo utapiga pesa nzuri sana, na utauza kwa kuringa ! Mvua msimu huu sio nyingi,,,wakulima wengi wameangukia masikio ! Kila la kheri ! Natamn siku moja niwe nafanya hii biashara ! Namiliki machine ya kukoboa mpunga, store kubwa ya kukusanyia mpunga kutoka kwa wakulima,,, ! Alafu mchele naupark kwa 5kgs, 10kgs, 25kgs, 50kgs na 100kgs nauza ! Ila kulima hapana, kulima kutegemea mvua ni sawa na kubet ! Kila la kheri ndugu
Lakin kununua uki calculate vzuri trend basi hela ni uhakika.