Car4Sale Nauza Nissan x-trail


Maelezo yako hajajitoshelezi...

Nini kinagonga kwenye engine?
 
Walifungua kipande

Okay kama unasema walifungua basi,

Ila kwenye engine za kisasa kama hiyo iliyopo kwenye Xtrail. Ukitembea bila Oil kitu cha kwanza kugonga huwa Oil control valve.

Na nmetoka kumtatulia mtu tatizo kama hilo jana Kibaha.

Alitembea bila oil engine ikaanza kugonga, Fundi akamwambia cylinder namba moja na namba 4 zimetanuka hivyo engine ni ya kubadilisha.

Jana tumebadili hiyo valve engine imetulia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…