Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nakuja Dm0779518149 call
Habari wakuu,
Nauza gari yangu Nissan x-trail tatizo nimetembelea bila oil injini ikaanza kugonga na kwasasa sina hela ya kununua injini mpya nipe offer yako nikuachie gari ufunge injini mpya, haina tatizo lolote zaidi yahilo.
Usajili. No DBX
Injini mpya inauzwa milioni moja tuuh.
Gari inavuta nyuma na mbele
Karibu.
View attachment 1875137
Crinshaft imechubuka sehem moja wanasema sasa beling haibab vzr ndomana inagonga
Mliifungua hiyo engine?
Walifungua kipande