The Donchop
JF-Expert Member
- Jan 10, 2014
- 294
- 378
namba zangu za simu ni 0717443023, PM kwangu inasumbua mkuu.weka namba ya simu basi, niPM please
namba yangu ni 0717443023 mkuu, karibu.toa contact yako itakuwa rahisi
nataka kujua nyumba ilikua yako sikuzotea au umerithi..im intrested na kununua naiyo sehemu inafika gari..kabla sijaamua kupiga smHabari zenu wote?
Nauza nyumba yangu ambayo ipo magomeni mikumi. Nyumba ina vyumba kumi vya kulala, na sehemu kubwa ya kupumzikia, mie niliitumia kwaajili ya kupangisha watu. Bei ni shillingi mil 60 na kuna maelewano. Ambaye yuko serious tuwasiliane kwa PM please.
bora we umejisemea maana mmh pana harufu ya hatari60m magomeni mikumi? Mbona bei rahisi sana? Isije ukawa umekopa bank umeweka kama dhamana unataka kuingiza watu king aka choo cha kike/kiume.
bora we umejisemea maana mmh pana harufu ya hatari
bora we umejisemea maana mmh pana harufu ya hatari
nataka kujua nyumba ilikua yako sikuzotea au umerithi..im intrested na kununua naiyo sehemu inafika gari..kabla sijaamua kupiga sm
Gari haifiki....na bei inapungua
60m magomeni mikumi? Mbona bei rahisi sana? Isije ukawa umekopa bank umeweka kama dhamana unataka kuingiza watu king aka choo cha kike/kiume.
Gari haifiki na ndio maana bei yake ni ndogo.
Document zipo kwaajili gani?
Mmh sasa kama gari haifiki na mafuriko hayafiki huko kweli..maana nisije nikanunua nikaja juta
Documents zipo nyingi sana nenda kidongo chekundu hadi Hati ya Ikulu unapata!
sasa kama pana mafuriko kweli bd unaniuliza chaguo ni langu mmh 60 ml for mafuriko house mmh usipoteze mda hutapata mtejaThe choice is yours...