Nauza nyumba

Nauza nyumba

The Donchop

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
294
Reaction score
378
Habari zenu wote?
Nauza nyumba yangu ambayo ipo magomeni mikumi. Nyumba ina vyumba kumi vya kulala, na sehemu kubwa ya kupumzikia, mie niliitumia kwaajili ya kupangisha watu. Bei ni shillingi mil 60 na kuna maelewano. Ambaye yuko serious tuwasiliane kwa PM please.
 
Attachments

  • IMG-20140108-WA0001.jpg
    IMG-20140108-WA0001.jpg
    43.9 KB · Views: 331
  • IMG-20140109-WA0002.jpg
    IMG-20140109-WA0002.jpg
    42.7 KB · Views: 303
  • IMG-20140109-WA0003.jpg
    IMG-20140109-WA0003.jpg
    73.7 KB · Views: 305
  • IMG-20140109-WA0006.jpg
    IMG-20140109-WA0006.jpg
    57.1 KB · Views: 306
Habari zenu wote?
Nauza nyumba yangu ambayo ipo magomeni mikumi. Nyumba ina vyumba kumi vya kulala, na sehemu kubwa ya kupumzikia, mie niliitumia kwaajili ya kupangisha watu. Bei ni shillingi mil 60 na kuna maelewano. Ambaye yuko serious tuwasiliane kwa PM please.
nataka kujua nyumba ilikua yako sikuzotea au umerithi..im intrested na kununua naiyo sehemu inafika gari..kabla sijaamua kupiga sm
 
60m magomeni mikumi? Mbona bei rahisi sana? Isije ukawa umekopa bank umeweka kama dhamana unataka kuingiza watu king aka choo cha kike/kiume.
 
bora we umejisemea maana mmh pana harufu ya hatari
 
nataka kujua nyumba ilikua yako sikuzotea au umerithi..im intrested na kununua naiyo sehemu inafika gari..kabla sijaamua kupiga sm

Gari haifiki na ndio maana bei yake ni ndogo.
 
Back
Top Bottom