Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
- Thread starter
- #21
Hahah 😃 huko mbali Sana mkuuHaya maisha yanaweza kukuvuruga mpaka ukatamani umuuze hata mke wako
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahah 😃 huko mbali Sana mkuuHaya maisha yanaweza kukuvuruga mpaka ukatamani umuuze hata mke wako
NdioRisiti ya kielektroniki (EFD) unatoa baada ya mauzo?
Sisi raia wema tunaogopa vishindo vya TRA kukamatwa na mali za wizi na kesi za kukwepa kodi.[emoji18]
We're survivingLife😂
nani anunue hiyo drone
😄😄 Daaahnani anunue hiyo drone
Aisee, hatujafikia huo uzungu.Nauza paka elfu tatu 3,000/= njoo umchukue
Location: Kigamboni
Piga: 0759448927
Umeamua kuwa mkweliMasihara kando
Kwa level yangu ya maisha siwezi ishi na mnyama wa kufugwa. Gharama za madawa, chanjo na chakula siwezi kumudu.
Hata nikitoa elfu tatu nikalazimisha kuishi naye hapa kwenye chumba cha kupanga ni nitamtesa tu. Kuna siku nitaondoka sirudi hadi wiki moja ipite na hata nakua sijui kama huko ninapoenda nitaondokea huko huko.
Ukitaka wengine nione nakupa bure tu, wanatusumbuwa huku mitaani, ukila Tonge la ugali anameza yeye.
Unajua nimecheka kwa sauti jamaa yanguUkitaka wengine nione nakupa bure tu, wanatusumbuwa huku mitaani, ukila Tonge la ugali anameza yeye.
Na kama Huna panya atakuletea bure 😅😅😅Kweli hali ni ngumu
Paka wanauzwa hadi laki 3 mkuuAisee, hatujafikia huo uzungu.
Paka Pussy au Paka Nyau?Paka wanauzwa hadi laki 3 mkuu
Hao ni pets na wana bajeti yao huenda kuliko hata bajeti yako ya kula.Paka wanauzwa hadi laki 3 mkuu