Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Nipo Arusha. Unaweza nitumia? Itakuwa tsh ngapi? Wawili jike na dume.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Af tatu tu....Bei gani? Nataka nimpe ex wangu zawadi ya bday yake
Nyau 🐱Paka Pussy au Paka Nyau?
Af tatu tu....
Ht hawa wa kawaida wengine huwa mbegu nzuri tu. Unaweza kuuza ht elfu 10Hao ni pets na wana bajeti yao huenda kuliko hata bajeti yako ya kula.
Huwezi kufananisha pets na hizi antenna za wachawi.
Anakimbizwa na panya!!Ana shida gani?
Ikitokea inauzwa Paka pussy unitaq mkuu.Nyau 🐱
Ni biashara Kama biashara nyingineKwanini unamuuza
Hao ni pets na wana bajeti yao huenda kuliko hata bajeti yako ya kula.
Hapana Ni wa nyumbaniNi paka shume?
6,000/=Nipo Arusha. Unaweza nitumia? Itakuwa tsh ngapi? Wawili jike na dume.
NoAmepata chanjo?
Ni kweli??Ht hawa wa kawaida wengine huwa mbegu nzuri tu. Unaweza kuuza ht elfu 10
AfutatuBei gani? Nataka nimpe ex wangu zawadi ya bday yake
Afutatu
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌Ukitaka wengine nione nakupa bure tu, wanatusumbuwa huku mitaani, ukila Tonge la ugali anameza yeye.
🤝🤝[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji1666][emoji1666]