Nauza paka wa nyumbani

Nauza paka wa nyumbani

ATAKAE MNUNUA USIKU ANA SEARCH HELA NYUMBA MZIMA NA ASUBUHI ANAPELEKA KWA MWENYE PAKA
 
1691633586080.png

MY TYPE!
 
Mama anafungua nchi

Imagine unafuga paka wa kutosha kwa mwezi unauza paka 10 kila Moja 3000 ......... Wale motiveshno spika nisaidieni kuendeleza hyo sentence ionekane hii biashara ni fursa lkn watu hawaijui
 
Kwa mwaka 30,000/= × 12 = 360,000/=
Nimeendeleza...
 
Mama anafungua nchi

Imagine unafuga paka wa kutosha kwa mwezi unauza paka 10 kila Moja 3000 ......... Wale motiveshno spika nisaidieni kuendeleza hyo sentence ionekane hii biashara ni fursa lkn watu hawaijui
Kila mwezi paka 10 kila mmoja 3000
3000*10= 30000
Kwa mwaka paka 120 * 3000= 360000
Ukitoa garama zako tuseme za chakula na dawa 60000 unabaki na laki 3 pesa nzuri kabisa unaipata bila jasho.
 
Back
Top Bottom