Kilanga komo
JF-Expert Member
- Aug 27, 2022
- 337
- 290
- Thread starter
- #101
HahahahaKila mwezi paka 10 kila mmoja 3000
3000*10= 30000
Kwa mwaka paka 120 * 3000= 360000
Ukitoa garama zako tuseme za chakula na dawa 60000 unabaki na laki 3 pesa nzuri kabisa unaipata bila jasho.