INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

Sikuharibii hata kidogo. Kama unasaa nitakuja nunua ila kwangu usiweke neno Valentine. Hizo ni sherehe za Kikafir
 
Bro jitahid usiwe na vyote kati ya umaskini na makasiriko,chagua kimoja itakupa unafuu wa kuish
Hapo ngoja nichague ambacho hujaweka. Nachagua nami kuwa tapeli na mjanja mjanja. Hii Valentine nauza Condom za Utamu, nauza na Vidonge mimba.
 
Wapendwa, packages za Valentine bado zipo, sio mpaka ununue kwa ajili ya valentine, unaweza nunua kwa ajili yako, girl friend, dada, mama, aunt, rafiki, uncle, cousin etc[emoji4][emoji4].
Nawakaribisha sana, whatsapp no 0753669856
 
Pete kuna za 8000 na jumla 6000

Kuna za dozen 18,000 na nusu dozen 10,000

Cheni zenye hereni zake jumla 3000 kuanzia sita na rejareja 5000

Hereni kadi moja 5000 na jumla 3500 kuanzia kadi 6

WhatsApp/call 0753669856

Tupo Dar, Kunduchi

Pakia upya picha zako inafunguka moja tu, weka moja moja
Nashindwa kuelewa nifanyeje, maana nkituma always inaonesha nliyoselect ya kwanza nyingine zinakuwa na link kama attachment na ukifungua hazifunguki, kama unaweza nielekeza how to do it utakuwa umenisaidia, zamani ilikuwa poa ila sasa hivi ndo hivyo
 
Kama una MY FILES nenda kachague kule itakubali
 
Nashindwa kuelewa nifanyeje, maana nkituma always inaonesha nliyoselect ya kwanza nyingine zinakuwa na link kama attachment na ukifungua hazifunguki, kama unaweza nielekeza how to do it utakuwa umenisaidia, zamani ilikuwa poa ila sasa hivi ndo hivyo
Fuata huu mpangilio👇🏻👇🏻👇🏻👇🏻 ukifika kwenye mafaili ya picha zako changua lenye picha unazotaka kutuma then tick zile ynataka kuweka.

NB: tumia folder ya MY FILES ndio mara nyingi halizingui
 
Fuata huu mpangilio[emoji1313][emoji1313][emoji1313][emoji1313] ukifika kwenye mafaili ya picha zako changua lenye picha unazotaka kutuma then tick zile ynataka kuweka.

NB: tumia folder ya MY FILES ndio mara nyingi halizingui
Okay, ahsante sana
 
Haya wapenzi karibu sana
Zile set zetu zimerudi
Set nzima pamoja na box ni 50000 tu
WhatsApp/call 0753669856
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…