INAUZWA Nauza perfume, saa na urembo mbalimbali kwa bei poa

WATU WANATUMIA FURSA SABABU YA UJINGA WA WATU KUWA MKUBWA SANA. KABISA MTU ANAENDA NUNUA ZAWADI SABABU YA STUPID THING LIKE VALENTINE?WAJINGA NDIO WALIWAO.
Acha watu wapate hela, Watanzania tukoje jamani. We kama huna mpenzi usiharibu biashara za watu.

Ukiacha umbeya soko liliochangamka zaidi hapa Tanzania ni hili la mapenzi. Hii ni fursa pana sana hasa kwenye vyuo hivi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…