Lenie
JF-Expert Member
- Aug 3, 2012
- 17,229
- 50,144
Hahahaa sikujua jaman, nisamehewe bureKitu unajipimia unachubukaje?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaa sikujua jaman, nisamehewe bureKitu unajipimia unachubukaje?
valentine wangu huyo, hataka zawadi yeyeBaby care yake safi kabisa 😂
St kayumba mimi hapo umeniachaconditioned reflex
Stress free babeBaby care yake safi kabisa 😂
Acha unaa na weweWatanzania 😂
Uzi wetu wa pakegi za valentine mnaugeuza kujadili bby care na dhakari michubuko?
Yuuu pipo
Nakupa 5 stars ratinghahaha shukran
Tumekusamehe najua ni stress za kummis beshtie DepalHahahaa sikujua jaman, nisamehewe bure
Mpe package ya mafuta kutoka kwa mleta bandikovalentine wangu huyo, hataka zawadi yeye
😂 ndio utanzania ulivyoWatanzania 😂
Uzi wetu wa pakegi za valentine mnaugeuza kujadili bby care na dhakari michubuko?
Yuuu pipo
Bila hivyo hakika tutakua hatujawa watanzania kamili😂 ndio utanzania ulivyo
Na tunajivuniaBila hivyo hakika tutakua hatujawa watanzania kamili
Ngoja niikimbie thread ya watu
Muungishe mleta mada kwanza kabla hujakimbiaNa tunajivunia
Ngoja niikimbie thread ya watu
Ukimbiaje aje tena? Kwani we huna mubebe umsapraizNa tunajivunia
Ngoja niikimbie thread ya watu
Baadae uanze ku google 'TIBA YA NGUVU ZA KIUME' ' why I cum faster' ' How can I last 45 min'siachi
natumia babycare, haichubuki hata