Goodluck Boaz
Member
- Feb 26, 2020
- 57
- 47
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawaa asante kwa funzo, mm sikuwa nafanya biashara ya kununua ili kuuza, nauza pikipiki yangu ndio maan nashndwa kujua miiko ya biashara.. ila nashukuru sana kwa funzo, asante. Zaidi nsaidie hata kuntaftia mteja ndugu kwani nina changamoto ya pesa.Mtu akishasema maongezi yapo najua huo ni ubabaishaji na uswahili, SINUNUI.
Jifunzeni kuweka bei halisi, mtu akitaka anunue hataki aende.
Kwamfano hapo kama umeamua utauza si chini ya 1.3M weka 1.3, kuanzia 1.5 ni utapeli na ubabaishaji.
Pamoja sanaSawaa asante kwa funzo, mm sikuwa nafanya biashara ya kununua ili kuuza, nauza pikipiki yangu ndio maan nashndwa kujua miiko ya biashara.. ila nashukuru sana kwa funzo, asante. Zaidi nsaidie hata kuntaftia mteja ndugu kwani nina changamoto ya pesa.
Ndio ipoKadi ipo?
Kadi ipo ndugu, ntakupa na block ya ingne ya CC200 maan apo nmefunga 150cc, ntakupa pia na shokapKadi ipo?
1.25m unachukua?Sawaa asante kwa funzo, mm sikuwa nafanya biashara ya kununua ili kuuza, nauza pikipiki yangu ndio maan nashndwa kujua miiko ya biashara.. ila nashukuru sana kwa funzo, asante. Zaidi nsaidie hata kuntaftia mteja ndugu kwani nina changamoto ya pesa.
Winga wa jf😁😁Mtu akishasema maongezi yapo najua huo ni ubabaishaji na uswahili, SINUNUI.
Jifunzeni kuweka bei halisi, mtu akitaka anunue hataki aende.
Kwamfano hapo kama umeamua utauza si chini ya 1.3M weka 1.3, kuanzia 1.5 ni utapeli na ubabaishaji.
Daah amina. Nashukuru sana kwa kujali, asante kuwa sehem ya farajaMUNGU akusaidie upate mteja
Target ilkuw niuze 1.3M lakin nina changamoto na nahitaji hela, nitachukua.. naomba tuwasiliane 06729011441.25m unachukua?
Amna shida mtumish ubalikiwe sana YESU ni MWAMINIFU utapata mteja ndugu yanguDaah amina. Nashukuru sana kwa kujali, asante kuwa sehem ya faraja
Hapan nliipimp ili iwe na muonekano mzuri maan niyakutembelea tu kwny mizunguko yang sio kwaajil ya biashara, kwamaaan ya bodabodaPikipiki ya wavuta bange
Labda ni kweli!, ila kuna wakati ni vizuri kuulizia bidhaa kwa undani zaidi ili kupata maelezo ya kina kabla ya kuinunua boss, npo tayari kwa kujibu maswali yao!Ukiona maswali yanakua mengi ujue watu hawana hela
900 hapana ndugu, lakin hii nliipimp ili tu kuleta muonekano mzuri, kwa uaminifu mkubwa kbsa haijaja kutoka kiwandani ikiwa hvyo!900 itapendeza zaidi,ila hii ni pikipiki gani zinakuja hivyo toka kiwandani au ndio usela nondo mana haina hata side mirrors
Sawa boss ila uwe mvumilivu maana negativity zinakua nyingi yLabda ni kweli!, ila kuna wakati ni vizuri kuulizia bidhaa kwa undani zaidi ili kupata maelezo ya kina kabla ya kuinunua boss, npo tayari kwa kujibu maswali yao!