Nauza pikipiki npo moshi mjini, bei 1.5M maongez yapo kwa mawasiliano 0672901144

Sawaa asante kwa funzo, mm sikuwa nafanya biashara ya kununua ili kuuza, nauza pikipiki yangu ndio maan nashndwa kujua miiko ya biashara.. ila nashukuru sana kwa funzo, asante. Zaidi nsaidie hata kuntaftia mteja ndugu kwani nina changamoto ya pesa.
Kama kadi inasoma majina yako sema nikupandie hewani nipo Arusha hapa.
 
Nilinunua kwa mtu ikiwa mbovu kwa gharama nafuu kisha nikaimodify, yaan kuiunda kwa kla ktu unachokiona apo, ili tu inivutie kwa matumiz yangu, lkn leo nmekwama na nataka hela hivyo kimfaacho mtu chake, ila ukiwa na kadi hatakama haukokuwa na jina lako maan yake wew ndie mmiliki halali wa chombo, hivyo ukinunua unaweza kunadlsha kupekeka kwny jina lako.. nmeongea kwa uwazi sana
 
Sawa Mkuu, tuishie hapa maana nikiongea nitakuharibia biashara.

Kila la kheri.
 
Back
Top Bottom