Goodluck Boaz
Member
- Feb 26, 2020
- 57
- 47
- Thread starter
-
- #21
Binadamu tunakwazwa kwa maneno ya kejeri, nakuhakikishia nitajaribu kuwa mnyenyekevu kwani changamoto ya pesa ndio imenifanya niuze chombo changu.. tufanye yote ila umaskini ni mbaya sanaSawa boss ila uwe mvumilivu maana negativity zinakua nyingi y
Kama kadi inasoma majina yako sema nikupandie hewani nipo Arusha hapa.Sawaa asante kwa funzo, mm sikuwa nafanya biashara ya kununua ili kuuza, nauza pikipiki yangu ndio maan nashndwa kujua miiko ya biashara.. ila nashukuru sana kwa funzo, asante. Zaidi nsaidie hata kuntaftia mteja ndugu kwani nina changamoto ya pesa.
Nilinunua kwa mtu ikiwa mbovu kwa gharama nafuu kisha nikaimodify, yaan kuiunda kwa kla ktu unachokiona apo, ili tu inivutie kwa matumiz yangu, lkn leo nmekwama na nataka hela hivyo kimfaacho mtu chake, ila ukiwa na kadi hatakama haukokuwa na jina lako maan yake wew ndie mmiliki halali wa chombo, hivyo ukinunua unaweza kunadlsha kupekeka kwny jina lako.. nmeongea kwa uwazi sanaKama kadi inasoma majina yako sema nikupandie hewani nipo Arusha hapa.
Sawa Mkuu, tuishie hapa maana nikiongea nitakuharibia biashara.Nilinunua kwa mtu ikiwa mbovu kwa gharama nafuu kisha nikaimodify, yaan kuiunda kwa kla ktu unachokiona apo, ili tu inivutie kwa matumiz yangu, lkn leo nmekwama na nataka hela hivyo kimfaacho mtu chake, ila ukiwa na kadi hatakama haukokuwa na jina lako maan yake wew ndie mmiliki halali wa chombo, hivyo ukinunua unaweza kunadlsha kupekeka kwny jina lako.. nmeongea kwa uwazi sana
Sawaa asante kwa kuhisi unajali biashara, asante pia kwasbabu naamin nmeeleweka.Sawa Mkuu, tuishie hapa maana nikiongea nitakuharibia biashara.
Kila la kheri.