Waibi fredy
Senior Member
- Jul 4, 2018
- 194
- 227
Zipo Heka 5 ila nauza 3 Tu ambazo zote zipo sehemu mojaLucas Mwashambwa tununue kiwanja
Njia ya bagamoyo waelekea moroMkenge ni kama unaenda wapi..?
Hebu fafanua Bagamoyo unaenda Moro ndio njia gani? Bagamoyo-Msata kuna Makurunge, Fukayosi, Bago, Kiwangwa etc?Njia ya bagamoyo waelekea moro
Ufiki Kiwangwa mbaya sio mwenyeji Sana hiyo njia ila kituo ni MkengeHebu fafanua Bagamoyo unaenda Moro ndio njia gani? Bagamoyo-Msata kuna Makurunge,Fukayosi,Bago,Kiwangwa etc ?
Kutoka main road unaingia ndani km?Ufiki kiwangwa mbaya sio mwenyeji Sana hiyo njia ila kituo ni mkenge
Unataka uingie mkenge?Mkenge ni kama unaenda wapi..?
Ni Mkange ama Mkenge?Mkenge ni kama unaenda wapi..?
Bagamoyo kwa migogoro ya ardhi 😅Habari wapendwa naitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3 .
Location: njia ya bagamoyo mkenge
Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji
Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo .
WhatsApp 0715160365
Call 0747464694
Kiwanja cha kuishi mimi na wewe kipo tayari .na kingine tutaishi cha Ikulu ya Magogoni DarLucas Mwashambwa tununue kiwanja
Bagamoyo kubwa ndugu.au mpaka msikie dalali mwanamke anakata viwanja ndio mkimbilie ?Bagamoyo kwa migogoro ya ardhi 😅
Nadhani alimaanisha mkange ila hiyo ipo Chalinze sio BagamoyoNi Mkange ama Mkenge?
Hii information nilikua naitafuta Sana asante sana nishapata mteja mpya tayari Acha nimtumie hii detailsKama ni Mkenge hii, basi tuseme Ukifika Fukayosi unatafuta njia..
View attachment 2979037
Google anasema 46 kilometa kutoka Bagamoyo.
View attachment 2979038
Utanikumbuka basi ata na ten mkuu.Hii information nilikua naitafuta Sana asante sana nishapata mteja mpya tayari Acha nimtumie hii details
Labda anaogopa kurudia rudia.jina la hilo eneo Bro maana ukiweka S kwenye K unavunjia Wakuu heshima.Hebu fafanua Bagamoyo unaenda Moro ndio njia gani? Bagamoyo-Msata kuna Makurunge,Fukayosi,Bago,Kiwangwa etc ?
Kama wateja wakipwaya ntafute nikulipe awamu 2 heka Moja mkuuHabari wapendwa naitaji mnunuzi mwenye kujua thaman ya uwekezaji Nauza place yangu heka 3 .
Location: njia ya bagamoyo mkenge
Document: Zipo na linatambulika na serikali ya kijiji
Nilinunua 2019 Nauza nimeshindwa kufanya chochote kutokana nipo mbali napo .
WhatsApp 0715160365
Call 0747464694