Plot4Sale Nauza place yangu Heka 3 Heka moja laki 9.5

Mkenge ipo katikati ya kijiji cha mwavi na fukayosi njia kuu ya kutoka bagamoyo kwenda msata.

Wastani wa kilometa 35 kutoka bagamoyo mjini hadi hapo kwenye njia panda ya kwenda mkenge. Na panaumbali wa kilometa 10 kutoka main road hadi kijijini mkenge.

Kwahiyo wape watu taarifa kamili ili mtu ajue location vizuri.
 
Mtaje mwenyekiti wa Mtaa wa Mkenge
 
Mtaje mwenyekiti wa Mtaa wa Mkenge
Jerry Slaa katoa marufuku kutumia uongozi wa serikali za mitaa/vijiji kwenye mauziano ya ardhi kwa sasa!

Maafisa wa ardhi mtatoka nao Halmashaurini hapo Bagamoyo.
 
Napajua mkenge akuna changamoto ya utapeli. Pamenyoka!! Mm shamba langu liko fukayosi Huu ni mwaka wa 7..... FUKAYOSI NDIO PAMEKUCHA KWA CHANGAMOTO.
 
Napajua mkenge akuna changamoto ya utapeli. Pamenyoka!! Mm shamba langu liko fukayosi Huu ni mwaka wa 7..... FUKAYOSI NDIO PAMEKUCHA KWA CHANGAMOTO.
Niko fukayosi hapa mkuu, tunanyonya gambe tu kwakwenda mbele, tuna malizia malizia hela za mapori [emoji28]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…