Nauza plot Tegeta A kwa bedui -Goba.

Pius Dominick

Member
Joined
Jan 20, 2017
Posts
77
Reaction score
56
Kiwanja kipo karibu na kanisa la Sabato dakika 5 kutoka barabara inayoelekea Goba mpakani. Kiwanja kina mapana yafuatayo. Upande unapakana na barabara ni mita 16 na marefu yake ni mita 38. Upande wake wa nyuma ni mita 22. Bei yake kuanzia TZS26 milioni. Maongezi yapo tuwasiliane
 

Document zikokoje? Kuna shida ya Maji kutuama? Sounds cheap
 
Kiranja kama fimbo ya kuulia nyoka
 

Kwenye picha ya kwanza hapo kwenye kona ya kulia ndio mpaka unapoanzia?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…